Ut tellus dolor, dapibus eget, elementum ifend cursus eleifend, elit. Aenea ifen dn tor wisi Aliquam er at volutpat. Dui ac tui end cursus eleifendrpis.
Simu Namba:
+255736932424
S. L. P. 30852 Kibaha, Pwani
Tanzania
Barua Pepe:
info@nyumbusaccos.co.tz
NYUMBU Savings and Credit Cooperative society Limited (NYUMBU SACCOS LTD) ilianzishwa na kuandikishwa tarehe 18/09/1989 na kupewa Hati ya usajili namaba CR 290 kwa sheria ya ushirika ya mwaka 1982 ambapo kwa sasa Chama kinafanya shughuli zake chini ya Sheria namba 6 ya Ushirika ya mwaka 2013 na kanuni zake sambamba na Sheria ya Taasisi ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake za mwaka 2019.


NYUMBU SACCOS LTD inatoa aina mbalimbali za bidhaa na huduma zilizoundwa ili kukidhi mahitaji mahususi ya wanachama wetu. Bidhaa na huduma zetu ni pamoja na:-
1. Tunapokea Akiba, Amana, Akiba Maalum (FD);
2. Wastaafu Skimu;
3. Mikopo ya maendeleo na
4. Mikopo ya Dharura na Kujikimu.
Tunalenga kutoa masuluhisho ya hali ya juu ambayo yanaendesha mafanikio ya wanachama na kuzidi matarajio yao.
