Thamani Yako, Dhamira Yetu.

Ut tellus dolor, dapibus eget, elementum ifend cursus eleifend, elit. Aenea ifen dn tor wisi Aliquam er at volutpat. Dui ac tui end cursus eleifendrpis.

Recent Articles

Simu Namba:
+255736932424

S. L. P. 30852 Kibaha, Pwani
Tanzania

Barua Pepe:
info@nyumbusaccos.co.tz

Amana

Amana (Deposit)

Hii ni akaunti ambayo mwanachama anaweza kuweka na kutoa akiba yake muda wowote wa kazi bila makato yoyote

Amana zisizobadilika (longterm Deposit)

Hii ni akaunti ambayo wanachama wenye kiwango kikubwa cha fedha wanaruhusiwa kuwekeza fedha zao kwa muda mrefu kuanzia miaka 2.

Vipengele vya bidhaa na faida:-

  • Kufungua salio la 10,000,000
  • Hupata riba ya 2% kila mwezi ambayo ni sawa na 24% kwa mwaka,
  • Muda wa kuwekeza kuanzia miaka 2;
  • Hakuna kuvunja Mkataba;
  • Hupata zawadi ya Gharama za vifaa vya ujenzi shilingi 240,000 na mchango wa matibabu shilingi 172,000 kwa kila 10,000,000 kila mwaka;

Akiba Maalum (Fixed Deposit)

Hii inatoa fursa kwa wanachama kujiweka akiba yake kwa muda maalum isiyopungua mwaka mmoja na hutoa riba ya hadi 12% kwa mwaka

Susu Akaunti

Hii inatoa fursa kwa wanachama kujiweka akiba yake kidogo kidogo kwa muda maalumna malengo maalum na hutoa riba ya hadi 12% kwa mwaka