Thamani Yako, Dhamira Yetu.

Ut tellus dolor, dapibus eget, elementum ifend cursus eleifend, elit. Aenea ifen dn tor wisi Aliquam er at volutpat. Dui ac tui end cursus eleifendrpis.

Recent Articles

Simu Namba:
+255736932424

S. L. P. 30852 Kibaha, Pwani
Tanzania

Barua Pepe:
info@nyumbusaccos.co.tz

Akiba

Akiba (Savings Products)

Akiba ya Lazima

Hizi ni akiba ambazo kila mwanachama atajiwekea kwa kipindi chote cha uanachama wake ambapo anawajibika kujiwekea angalau shilingi 68,500 kila mwezi.

Vipengele vya bidhaa na faida:-

  • Kufungua salio la 68,500
  • Hupata riba ya 4% kwa mwaka
  • Salio la chini la 100,000 kwa mapato ya riba
  • Makato shilingi 1000 kwa mwezi.
 

Jinsi ya Kujiunga

  • Kiingilio Shilingi 20,000
  • Ununuzi wa hisa moja ya kuanzia 10,000
  • Picha mbili za passport size
  • Kitambulisho cha Taifa/kitambulisho cha Mpiga kura/Leseni ya Udereva/Hati ya kusafiria;
  • Uwe na uwezo wa kujiwekea akiba kila mwezi shilingi 68,500.
  • Namba ya utambulisho wa Mlipa kodi (TIN Namba) ni lazima kwa mwanachama anataka kuwekeza katika amana zisizobadilika za muda mrefu.